Ndugu na Rafiki yangu Tunapokaribia kushuhudia tukio la kipekee la ndoa yangu

Mahemba Mussa Bekha

Napenda kukuomba kwa upendo na heshima mchango wako katika harusi yangu itakayofanyika Dar es Salaam, Ukumbi wa Mlimani City tarehe 13 Dec, 2025

Mchango wako ni baraka kubwa kwangu na utanisaidia kufanya siku hii iwe ya furaha na kumbukumbu

Michango itapokelewa kupitia akaunti zifuatazo

Mahemba Mussa Bekha – 0152301557600 (CRDB)
Mahemba Mussa Bekha – 0755074421 (M-Pesa)


Kadi hii ya mchango imetumwa kwa: